Jifunze, Unda na Vumbua
Built with ❤️ by teKsafari
Jifunze kudhibiti vifaa vya elektroniki kama LED, buzzer, na motor kwa kutumia amri rahisi za Kiswahili. Sasa unaweza pia kupanga vifaa hivi navyo unavyotaka!
washa(n) - Washa kifaa nambari nzima(n) - Zima kifaa nambari nsubiri(ms) - Subiri kwa millisekunderudia(n) { ... } - Rudia amri mara nKidokezo: Jaribu kuburuta vifaa hivi kupanga muundo wako!
Run your code to see output here...